Magufuli atibiwe, mti unaanguka anasema ni matawi!

Magufuli atibiwe, mti unaanguka anasema ni matawi!

Kawaida hata waliopigania haki za masoga uingeleza na marekani lilikuwa ni wazo la mtu mmoja tu kama Lowassa then wakafuata mashoga wengine kama waliomfuata Lowassa.

Soma tena ulichoandika uone kama utaelewa
 
Wapo waliodharau mwiba wakaota "Matende",wapo waliodharau ufa wakajenga "Ukuta",wapo waliodharau magonjwa wakaambulia "KIFO".
 
acheni siasa za majitaka bwana,, hawa c.cm bado hawako dhaifu kama mnavojiaminisha,, wao wamempoteza lo.wassa ila nanyi technically mmewapoteza sla.a na lip.umba na taka msitake kampeni zikianza lazima wata raise hoja juu ya kujiuzulu kwa hawa wakubwa na wakiweza kuisimamia vema itawawia vigum sana kutetea hoja mbili za kwanza ilikuaje mkapokea mtu mlie msimanga wenyewe kwamba ni fisadi lililokubuhu lakini pili ni misingi gani mnasimamia hasa baada ya kuruhusu waachie ngazi hawa viongozi wenu wakubwa wawili... tusemeni yote ila kwa mtazamo wangu naona mmepiga hatua nne mbele kisha mkarudi nyuma hatua saba na kujipongeza bila kuzingatia hizi hatua tatu mnazopoteza
 
Back
Top Bottom