Magufuli atibiwe, mti unaanguka anasema ni matawi!

Rose Mayemba

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Posts
721
Reaction score
1,017
Hii ni historia ya kwanza yenye kustaajabisha aliyoiandika mgombea wa CCM alipokuwa akihutubia wanaccm wachache wa mkoa wa MTWARA.

Kila mtanzania alishtuka( nadhani hata CCM wenyewe walijikaza kisabuni). Anguko kubwa kama hili ndani ya chama tawala akili yake yote imeishia kufikiri Yale ni matawi tu.

Mwenyekiti wa wenyeviti Tanzania nzima anang'oka unasema MATAWI.

Madiwani na wabunge mashuhuri wanaachia ngazi kwa mshindo mkubwa wewe unawaza habari za MATAWI!!!

Wenyeviti wa mikoa na wànachama lukuki wanatimua mbio wewe bado ndoto yako inafikiria kuwa Yale ni MATAWI!!!!

HAPANA!!!
Madaktari mtusaidie haraka.hapa kuna shida kubwa.huyu ndugu yetu anahitaji msaada wa kisaikolojia.
TUSIPUUZE

NIKIFA WENGINE WATASEMA
Mayemba rj
 
Hahahaaha,sijui kwa yeye mti nini,na matawi ni nini?au mpaka kikwete ndo atajua mti unamungukia..
 
MAGUFULI ATIBIWE, MTI UNAANGUKA ANASEMA NI MATAWI!!!!

Hii ni historia ya kwanza yenye kustaajabisha aliyoiandika mgombea wa CCM alipokuwa akihutubia wanaccm wachache wa mkoa wa MTWARA.

Kila mtanzania alishtuka( nadhani hata CCM wenyewe walijikaza kisabuni). Anguko kubwa kama hili ndani ya chama tawala akili yake yote imeishia kufikiri Yale ni matawi tu.

Mwenyekiti wa wenyeviti Tanzania nzima anang'oka unasema MATAWI.

Madiwani na wabunge mashuhuri wanaachia ngazi kwa mshindo mkubwa wewe unawaza habari za MATAWI!!!

Wenyeviti wa mikoa na wànachama lukuki wanatimua mbio wewe bado ndoto yako inafikiria kuwa Yale ni MATAWI!!!!

HAPANA!!!
Madaktari mtusaidie haraka.hapa kuna shida kubwa.huyu ndugu yetu anahitaji msaada wa kisaikolojia.
TUSIPUUZE

NIKIFA WENGINE WATASEMA
Mayemba rj
 
anataka akifa apewe cheo huko mbinguni! Kweli wamevurugwa ccm
 
kwani mlevi huwa anajitambua kama mlevi si mpaka aambiwe na watu wengine
 
Hayo kweli ni matawi mti wenyewe upo na umesimama imara,unapozungumzia matawi ni watu kama lowasa,mahanga,bulaya,limbeli na wengine ambao hawana nguvu katika chama,ndio maana wamewezwa kukatwa kiulain
 
Akili Zake Kama Za Hamphrey Polepole Tu,
Tatizo La Wasisiemu Ni,ULEVI Wa Madaraka.
Asubiri T5 Octoba Saa Nne Asubuhi,Ndipo Atajua Aimbe Wimbo Upi.
UKAWA Oyeeeeeee!Lowasa Raisiiiiiiiii!
 
Mh!Kwa kweli ni nyakati za mashaka hizi na kukosa imani.
 
Hayo kweli ni matawi mti wenyewe upo na umesimama imara,unapozungumzia matawi ni watu kama lowasa,mahanga,bulaya,limbeli na wengine ambao hawana nguvu katika chama,ndio maana wamewezwa kukatwa kiulain
Nyie mdanganyeni mgombea wenu eti mti unaweza kusimama bila matawi, hata mnazi una matawi.
 
Kawaida hata waliopigania haki za masoga uingeleza na marekani lilikuwa ni wazo la mtu mmoja tu kama Lowassa then wakafuata mashoga wengine kama waliomfuata Lowassa.
 
Msiwe na ushabiki usio faa hapa umuhimu wa madarasa unahitajika sio kuwa mikia mnapelekwa tu
 
Back
Top Bottom