Ni wanavijiji wangapi hadi leo wanamadai ya nyumba zao kupigiwa X na wangapi wamebomolewa nyumba zao na hawajalipwa na hakuna dalili za kulipwa Magukufuli alifuata sheria ipi kikatiba kuvunja nyumba za wanavijiji hao ambayo imo kwenye Katiba bila ya kuwalipa ? Na bado mtu huyu anahadithi za kujenga barabara mpya ,wakati hizo alizojenga kibabe ni za kiwango cha chini kabisa zenye kusababisha ajali kila siku ,kwa maana barabara za Tanzania baada ya UHURU miaka 60 iliyopita ,ilikuwa iwe na dual carriageway zinazokwenda na kurudi na ndani ya miji mikuu kila upande wa njia kuu ulihitaji uwe na njia nne