Nyambafu.... makufuli aombewe yeye kama nani muhimu sana hapa nchinii???? Shezy taipu......
Mabadiliko Lowassa, Lowassa mabadiliko, yako wapi?
Mkuu umewahi kusoma taarifa za CIA zilizo vuja kupitia WikiLeaks, basi kwa taarifa yako kiongozi wenu wa UKAWA Serikali ya Merikani inamjua vizuri kuliko unavyo fikiria, vile vile na maalim Seif wakijifanya kwenda kulalamika, Merikani watawasikiliza lakini watawapuuzia,kama maalim Seif na wafuasi wake walifikiri watapata ushindi kwa kuwatumia mamuluki wa IT kutoka Korea kusini basi hiyo imekula kwao.yeah!time will tell.baada ya mwaka mmoja tu kila mmoja ataanza kulalamika,na safari hii wasitegeme misaada kutoka US na kama maalim akishinda kuna uwezekano mkubwa sana uchaguzi ukarudiwa ili kumpata rais mpya wa tanganyika
Hivi magufuli hana mtoto aliye humu jamii forum amwambie baba yake hapendwi
It has not been phrased correctly. Analosema ni kwamba siyo kwamba yeye ameahidi vitu na watu wasubiri kuvipata . Ni kwamba maendeleo ya nchi ni kazi ya Watanzania wote. Everyone must do what he does best kwa maendeleo ya nchi. Kila mtu kufuatana na ujuzi wake,kipaji chake,na Rais ndie coordinator.Na swami la kwanza linalotakiwa kuulizwa na kila mtu na kujibiwa ni:saa nzuri ya kuamka asubuhi ni saa ngapi? Saa ya kwenda kulala ni saa ngapi?