Magufuli anza na TANESCO

Magufuli anza na TANESCO

kuch-kuch

Member
Joined
Jan 14, 2014
Posts
40
Reaction score
17
Huku wakijua kabisa leo watanzania wengi kupitia runinga zao wanafuatilia tukio la uapishwaji wako TANESCO wamezima umeme baadhi ya maeneo hapa Dsm. Sasa umeshaingia ofisini anza na shirika hili lenye uozo.
 
Kuna watu wanajaribu kuhujumu utawala huu wa Magufuli. watashugulikiwa haraka iwezekanavyo
 
Tatizo Mfumo hao unaosema aanze nao kupitia fedha za escrow ndio zimemuweka madarakani leo.
 
lile Jengo lao ubungo liko kwenye hifadhi ya barabara
 
Kuna watu wanajaribu kuhujumu utawala huu wa Magufuli. watashugulikiwa haraka iwezekanavyo

Mbona unajishtukia!elewa mzigo aliyopewa mr makomeo ni mzito ndomana kumuita tb Joshua kwanza aje andoe madudu white nyumba
Ovaaa
 
Mbona unajishtukia!elewa mzigo aliyopewa mr makomeo ni mzito ndomana kumuita tb Joshua kwanza aje andoe madudu white nyumba
Ovaaa

Utaisoma namba
 
Attachments

  • 1446717045651.jpg
    1446717045651.jpg
    31.2 KB · Views: 812
Tanesco wamenisikitisha sana... sijui ni hitilafu ama gesi imepungua tena..
 
Akimaliza tanesco ahamie deni la wahindi magari 777
 
Kenya wana mradi wa kuingiza megawatts 5,000 kwenye gridi yao ya taifa

Gharama ya uzalishaji bidhaa kwenye viwanda vyao itashuka na wataendelea kuwa the lead net exporter kwa east&lake region
 
Akimaliza tanesco ahamie deni la wahindi magari 777

Haya magari 777 ya polisi ya washa washa na mengine yauzwe haraka sana hiyo pesa itakayopatikana wapewe wanafunzi wa elimu ya juu kama mikopo ya masomo.
 
Haya magari 777 ya polisi ya washa washa na mengine yauzwe haraka sana hiyo pesa itakayopatikana wapewe wanafunzi wa elimu ya juu kama mikopo ya masomo.

Ha ha ha yapigwe mnada nini teh nami ntanunua washa washa 2
 
Kuna watu wanajaribu kuhujumu utawala huu wa Magufuli. watashugulikiwa haraka iwezekanavyo
Maneno haya hutumiwa na watawala kama kichaka cha kukwepa majukumu. Unaomba kura uingie madatakani, unapewa madaraka halafu unaanza kusema unahujumiwa. Hao wahujumu wana nguvu kuliko mamlaka yako? Sasa uliomba madaraka ili ufanyeje, kuweka historia tu?
 
Acheni longo longo ukiona Tanesco wamekata Umeme ujuwe wazi kuna tatizo mahali kwaiyo huwezi acha kulishugulikia. Jiulize unamda gani haujakatika toka kipindi Umeme unasumbua sasa Leo umekatika kidogo tu lawama ebu watanzania tusipende kulaumu vitu bila kufahamu chanzo ni nini tuwe watu wakujiuliza. Hivi Tanesco wao wanapenda kusema vibaya kaila wakati mpaka wakate Umeme siku kama hii
 
Back
Top Bottom