Magufuli Angekuwa Nuru ya Afrika !

Magufuli Angekuwa Nuru ya Afrika !

Gamba la Chuma

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
1,243
Reaction score
346
Magufuli angekuwa maarufu ndani ya muda mfupi, angekuwa nuru ya Africa, na angetambulika duniani kwa sifa njema.

Wananchi bila kujali itikadi walimpenda, na wangempenda zaidi na zaidi.

Lakini kuna watu hawakulipenda hilo, wakafanya hila, wakamfitinisha na wananchi wake !
 
Muacheni MUHONGO akafanye kazi, kenge nini..
 
mtaongea mengi ila ikulu mtaingia kwa kuitwa na ruzuku imekaliwa na manvi chama lenu limeugua mdondo.
 
Hizo ndio dua za kuku. Ww ni nan hasa mpaka utoe tathmin hyo? Wakat kula kwenyew hujiwezi mpaka akutafutie dadaako?
 
Hizo ndio dua za kuku. Ww ni nan hasa mpaka utoe tathmin hyo? Wakat kula kwenyew hujiwezi mpaka akutafutie dadaako?

Na hiyo ndiyo taswira ya marehemu ccm katika ujenzi wa taifa na ustawi wa raia. Ungelikuwa na ufahamu japo kidogo usingejianika uchi hapa.

Mmebaki kundandia jina la magufuli ili awainue. Maiti ccm amekuwa mzigo kwa jina la magufli. Sasa mmemzamisha. Uozo na upumbavu wa ccm peleka lumumba.
 
ubongo wako una minyoo. Eti tunadandia jina la magufuli ww kiaz kweli. Kwan magufuli katokea kwenye chama lenu? Magufuli anatekeleza ilani ya nan?

Mmekalia kulalamika tuu paspo hata na lolote jitu ukiwa lipumbavu shida sana.
 
Mkuu achana nayo hiyo mipumbaf na milofa
 
Magufuli kajiharibia mwenyewe, yeye ni rais sasa inakuwaje akubali kupokea maagizo mabovu ya kamati kuu ya CCM?
 
mkuu km ww ndo yl mwn ukoo wa nyrere burito,,uliwah ksm km ikitokea m2 akahtaj uta2jlsh khs jna la mwl.la mgendi,kbdlsh
 
kumbe watu wengine wamewehuka baada baada ya uchaguzi mkuu kuisha....

magufuli anakubalika sana afrika na duniani kwa ujumla kwa namna anavyopiga kazi. kaeni na rais wa mioyo yenu luwasa...achana na magufuli shen.z..i ta.i.p.u
 
Magufuli hata Mimi Kaniangusha.... Imekuwaje kamuweka Mwakyembe na Muhongo.... Nape Nnauye si Mbaya kwasababu ndio First time ila Nape Akue ajielewe sasa sio Mpiga Debe bali Mchapa Kazi... sometime unaweza badilisha kutoka kuwa Mpiga debe na kuwa Mchapa kazi hodari hilo ni debe pia la kiaina yake tena la ukweli...Hongera
 
Last edited by a moderator:
Tatizo kwenye baraza kaweka watu wa kwenda kusimamia iikadi za chama na sio wananchi
 
Back
Top Bottom