Magufuli anawaleta wasomi kwenye uongozi kufanya Utakatishaji wa siasa - Political Laundering

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,342
9,824
Angalia mifano miwili tu ya wateule wa Trump na utaona lengo lake katika uongozi.

1. Rex Tillerson, 64.
Huyu alikuwa chairman wa Exxon Mobil- Kampuni kubwa ya kimataifa inayojihusisha na maswala ya nishati karibu kote duniani.
Bado anahisa zenye thamani ya dolla millioni 151 kwenye hii kampuni.
Huyu ni mtu anaejua biashara ya nishati na biashara za kimataifa kwa ujumla nje na ndani.Ni mtu aliyejaribu na akaweza kwenye maisha na hili halina shaka yeyote.

2. Steven Mnuchin, 53.
☆ kabla alikuwa mwanachama wa Goldman Sachs; Multinational finance company inayojihusisha na investment banking, investment management,securities na huduma nyingine nyingi za kifedha.

☆ Amekuwa hedge funder; kwa kifupi kabisa ni investment partner kwenye investments zenye siginificant assets.

☆ Amekuwa producer wa movie huko Hollywood. Kwa wale wapenzi wa movie wanaweza kumbuka Sully, American Sniper na The legend of Tarzan.

☆ Ni mtoto wa muajiriwa wa Goldman Sachs, Yale Grad.

☆ Alinunua IndyMac bank iliyokuwa kwenye hatihati za kufilisika 2008 na akafanikiwa kuigeuza kuwa biashara nzuri na akapiga hela.

♥ Yani utampenda, ni mtu aliyepita vipimo vya kutosha kujua maisha na biashara.Ni moja kati ya watu wanaokula namba maana huyawezi yote hayo kama ni mwoga wa namba.

Sasa tuje kwa Magufuli.
Amejaza chumvu, unga, panadol , oil, nondo, misumari , acid , mafuta ya kujipaka na kinyesi cha ng'ombe kwenye ndoo moja.
Kuna kina Bashite na wasomi chungu mbovu kwenye teuzi zake.

Mtu unajiuliza, na hapa silengi kuwana wasomi, maana wapo wachache waliofanikiwa sana karika maisha yao. Hivi hawa wasomi .....

@ Wanaotumia muda mwingi sana kufikiria na muda kidogo sana kutenda.
@ Wanao overvalue credentials zao ambazo mtaani haziko proven.
@ Wasiopenda kufanya mambo ya kawaida kabisa. Yani unakuta mtu yuko sehemu chafu lakini hawezi kuchukua mfagio afagie.
@ Wanaotafuta proof & evidence & data points kabla ya kufanya jambo hata mahali ambako vitu hivyo haviko.
@ Walivyo complex na wanavyopenda complexity ukilinganisha na street fighters waliofanikiwa ambao wako very simple.

Wasomi hawa wanarundikwa kwenye uongozi na siasa kwasababu gani?
Jibu ni moja , Magufuli anataka kuhalalisha vifo vya watu walio ndani ya makaburi yaliyomshinda kufukua.

Kama ilivyo kwenye utakatishaji wa fedha haramu - money laundering, Magufuli anataka kutakatisha vitendo haramu vilivyofanywa kwenye siasa za Tanzania - Political laundering.

BringBackBen
 
expedition
Sidhani kama kweli hatuna watu wa kujivunia kama taifa.
Tatizo ni syle ya uongozi.
Utampataje mtu mwenye opportunity nyingi kwenye maisha wakati unataka ikiwezekana afanye kazi bure halafu umpelekeshe kama dada wa kazi za ndani na ukimchoka umtimue hadharani na kashfa lukuki!!
 
Angalia mifano miwili tu ya wateule wa Trump na utaona lengo lake katika uongozi.

1. Rex Tillerson, 64.
Huyu alikuwa chairman wa Exxon Mobil- Kampuni kubwa ya kimataifa inayojihusisha na maswala ya nishati karibu kote duniani.
Bado anahisa zenye thamani ya dolla millioni 151 kwenye hii kampuni.
Huyu ni mtu anaejua biashara ya nishati na biashara za kimataifa kwa ujumla nje na ndani.Ni mtu aliyejaribu na akaweza kwenye maisha na hili halina shaka yeyote.

2. Steven Mnuchin, 53.
☆ kabla alikuwa mwanachama wa Goldman Sachs; Multinational finance company inayojihusisha na investment banking, investment management,securities na huduma nyingine nyingi za kifedha.

☆ Amekuwa hedge funder; kwa kifupi kabisa ni investment partner kwenye investments zenye siginificant assets.

☆ Amekuwa producer wa movie huko Hollywood. Kwa wale wapenzi wa movie wanaweza kumbuka Sully, American Sniper na The legend of Tarzan.

☆ Ni mtoto wa muajiriwa wa Goldman Sachs, Yale Grad.

☆ Alinunua IndyMac bank iliyokuwa kwenye hatihati za kufilisika 2008 na akafanikiwa kuigeuza kuwa biashara nzuri na akapiga hela.

♥ Yani utampenda, ni mtu aliyepita vipimo vya kutosha kujua maisha na biashara.Ni moja kati ya watu wanaokula namba maana huyawezi yote hayo kama ni mwoga wa namba.

Sasa tuje kwa Magufuli.
Amejaza chumvu, unga, panadol , oil, nondo, misumari , acid , mafuta ya kujipaka na kinyesi cha ng'ombe kwenye ndoo moja.
Kuna kina Bashite na wasomi chungu mbovu kwenye teuzi zake.

Mtu unajiuliza, na hapa silengi kuwana wasomi, maana wapo wachache waliofanikiwa sana karika maisha yao. Hivi hawa wasomi .....

@ Wanaotumia muda mwingi sana kufikiria na muda kidogo sana kutenda.
@ Wanao overvalue credentials zao ambazo mtaani haziko proven.
@ Wasiopenda kufanya mambo ya kawaida kabisa. Yani unakuta mtu yuko sehemu chafu lakini hawezi kuchukua mfagio afagie.
@ Wanaotafuta proof & evidence & data points kabla ya kufanya jambo hata mahali ambako vitu hivyo haviko.
@ Walivyo complex na wanavyopenda complexity ukilinganisha na street fighters waliofanikiwa ambao wako very simple.

Wasomi hawa wanarundikwa kwenye uongozi na siasa kwasababu gani?
Jibu ni moja , Magufuli anataka kuhalalisha vifo vya watu walio ndani ya makaburi yaliyomshinda kufukua.

Kama ilivyo kwenye utakatishaji wa fedha haramu - money laundering, Magufuli anataka kutakatisha vitendo haramu vilivyofanywa kwenye siasa za Tanzania - Political laundering.

BringBackBen

matajiri au watu wa qualification hizo bongo hawapo

wenye hela bongo wengi wahuni, madawa, wanakwepa kodi, wana biashara za siri nyingi sana
 
sidhani kama uko sahihi.
Unawatweza watanzania wenzako bila ushahidi
 
Back
Top Bottom