sio lazima kuhojiwa ili iweje na itabadilisha nn akihojiwa, achene amalize muda wake afanye anayoyaamini then tutachagua rais mwingine anayependa kuzurura huko Uraya, mbona kama misaada wanaleta bila ya yeye kuifuata, musitake kumuahibisha na vingereza vyenu vya Academy school mtoto wa mkulima kasoma st. Kayumba