Nani kama jpm,Haya siyo mapenzi,haya ni mahaba.
Niliwaambia acheni jembe Magufuli asafishe, sasa mtafurahi. Hio ndio dawa ya nchi hii ingawa ni chungu, chungu, chungu, chungu!!
Tunatakiwa kufanya kazi kwa uadilifu jamani watanzania wenzangu ili kumuunga mkono Rais wetu.
Nawasilisha
Tupo pamoja,Niliwaambia acheni jembe Magufuli asafishe, sasa mtafurahi. Hio ndio dawa ya nchi hii ingawa ni chungu, chungu, chungu, chungu!!
Tunatakiwa kufanya kazi kwa uadilifu jamani watanzania wenzangu ili kumuunga mkono Rais wetu.
Nawasilisha
Mzee wa kukosoa sababu tu ya chuki za ukoo....jirekebishe!Wazee wa kusifia bila hata kureason. Hongereni