Magufuli anasafisha nchi, tumuunge mkono

Magufuli anasafisha nchi, tumuunge mkono

Ni upuuzi wa pwagu na pwaguzi ndio Kinachoendelea kwa sasa.
Labda tuanze kwa kujiuliza, anasafisha uchafu upi, na nani aliuweka?
Leo hii unadai kumlinda muweka uchafu, huku unatoa uchafu ndani, je muweka uchafu anapobaki ndani kwako, ni vipi patabaki kuwa safi ili hali na yeye kabaki ndani ya nyumba unayoisafisha?
Haiitaji hata elimu ya darasani kuelewa ili na siasa zake za kipuuzi.
 
Back
Top Bottom