jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
Channel ten wameleta habari ya Ya Trade union moja hivi ina jina gumu gumu ...sijui COWTU kama sijakosea.
Habari hii inaonesha wanachama wakimsimamisha mwenyekiti na katibu wake baada ya kugundua madudu mengi...mojawapo ni watumishi hewa(wastaafu) kuendelea kuwa viongozi na kutumbua michango ya wafanyakazi.
Huu ni mfano mmoja kati ya mingi ya aina hii...kwamba wapo viongozi hewa wa vyama vya wafanyakazi ambao hadi leo hii ninavyopost wanaendelea kutatibu zoezi la sikukuu ya wafanyakazi ilhali wao ni wastaafu.
Je kwa kofia yake Mh Dr Mtumbuaji JPJM anaweza kupeleka mkono wake wa kidaktari ili kuponyesha jipu hili?