Magufuli 'anajihujumu' mwenyewe...

miaka hii mitano ni ya kusikia na kuona mambo mengi ya ajabu,tujipange itakapofikia 2020
 
Awamu hii Polisi watatumika Sana, Na bajeti yao Itakua Mara 3 ya bajeti ya kawaida ya mwaka

Mungu ibariki Tanzania
 

Kwa kawaida watu ambao hawawezi kusimama criticism ni watu wenye psychological inferiority disorder. They have to act tough to prove their manhood or status.
Magufuli is mind sick individual.
 
It more active in social media...I can assure you!


Hebu rudi usome ulichoandika. Ulitaka kuandikaje?
Aah! Ndio maana mnaupinga ukuta. Uungeni mkono ili muelimike. Ndalichako akisoma ulichokiandika anaweza kuandika barua ya kujiuzulu bila kutafakari. Unadhalilisha lugha ya watu.
 
Wewe ni wawapi?taja kodi iliyopandishwa kiholela.
Kodi na tozo zote zipo kisheria kabisa kama hujui hilo.

Hata hivyo sishangai maana wewe kila siku ni topic zile zile na maneno yale yale..
Nchi gani inaendeshwa bila kodi?

Kama hutaki kulipa kodi funga biashara zako au nenda nchi ambayo utafanya biashara bila kulipa kodi au ushuru.
 
Ndio wasiwasi wangu tu huo, si wakuwaamini sana! Wale Polisi watiifu sidhani kama bado wengi kiasi hicho! Wale wa Misri waliuza game kipindi kile hahaahahaaah tusifike mbali. Niko kwenye maombi ya mfungo Mungu atuepushe na mambo haya
Hahahaha.
Wale wazee walioingia jeshi la polisi kwa vyeti vya darasa la saba siku hizi wamebaki kulalamika tu. Na kulaumu kuwa jeshi limeharibika kwa sababu serikali kuajiri baadhi ya waliosoma. Mmoja alisikika akisema "siku hizi jeshi limekosa nidhamu, Mkubwa akitoa order kwa wasomi mpaka wahoji. Zamani ilikuwa order ikitolewa tekeleza kwanza ndo baadaye utahoji". Kwa Inawezekana kabisa polisi wakauza mechi kama vurugu zikitokea. Ila sema tu njaa za polisi kwa sababu kwao maandamano ni fursa ya uporaji.
 
Kwa kawaida watu ambao hawawezi kusimama criticism ni watu wenye psychological inferiority disorder. They have to act tough to prove their manhood or status.
Magufuli is mind sick individual.

You are not far from the truth
 
Kwenye suala la maandamano angewaruhusu tu waandamane nchi nzima mwisho watachoka watapumzika.
Kitu cha muhimu wasivunje sheria.
Rais shughulikia mambo makubwa yenye manufaa kwa nchi na wananchi kama umeme,maji ,afya,elimu,ajira na kuondosha umaskini kwenye kaya.
Miaka mitano ni michache sana kuweza kuleta mabadiliko achana na kukimbizana na wanasiasa wa upinzani.
 
mie nasubiria hio tarehe moja,nione nani anachukua kombe,nina ugwadu balaaa,naona September mosi mbali vile
 
Halafu kodi yenyewe hajamaliza bado anaishi kwa msosi anaobiwa na binti wa Mwenye Nyumba wake... Dah wana hatari hawa watu
 

kwani na wewe wawapi?unaridhika kuskia serikali imekusanya kiasi hiki,na kinaendelea kukusanya kiasi hiki,bila improvement yeyote katika sector yeyote,maji afya etc
 
Hiyo kwenye red maana yake nini?

Hivi kuna mnalojua zaidi ya kufyatua?
ELIMU! ELIMU! ELIMU!...Unafikiri yule Mwanafalsafa aliyesema hivyo alikuwa kichaa??? hapana! alijua kuna wajinga wengi na dawa yao ni ELIMU ELIMU ELIMU.
 
kwani na wewe wawapi?unaridhika kuskia serikali imekusanya kiasi hiki,na kinaendelea kukusanya kiasi hiki,bila improvement yeyote katika sector yeyote,maji afya etc
Kama huna macho ya kuona improvement basi matatizo uliyo nayo ni zaidi ya macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…