Kupata kichekesho kingine kama hiki,tuma neno kichekesho kwenda namba 1331JPM AMTIA PRESHA ENL:
Habari za ndani zinasema kuwa mgombea wa Ukawa amekuwa na tabiaa ya presha kupanda na kushuka kila mara kisa kikitonywa kuwa ni Magufuli,unaambiwa jamaa usingizi wake ni wa tabu kwa kumuwaza jamaa kwa kigezo kuwa jamaa ni muadilifu,mfatiliaji,mtekelezaji na muaminifu na hivyo kuhofu kuwa wananchi walio wengi na wana misimamo watamchagua
Hofu inazidi kumtanda Makufuri, kwan Edo akiingia madarakani lazima aeleze umma ufisadi alioufanya kwenye Ujenzi wa barabara kwa kuiba mita moja, si hilo tu hofu aliyonayo ni kurudishwa nyumba za serikali anahofu ya wale ndugu zake na demu wake kupokonywa nyumba walizojimilikishia kiujanja janja!
Msijipongeze kuna mengi tua ambayo Makufuri anawaza Na hapati jibu, ununuzi wa meli feki, hasara ya kukamata meli ya samaki kwa jeuri bila kufuata taratibu, yaani nyie acgeni Makufuri anashida kuliko mnavyosema! Time will tell subiri mtaona.
Absolutely! Ila one has to open-minded to see this! Wenye kufanya ushabiki wa chama hili hawataliona
Kwa kweli katika kipindi ambacho kimekuwa kigumu katika maisha ya Lowasa hakuna kama sasa: Bora hata alivyoenda "vitani" hakukutana na hali ngumu kama sasa, Nasikia hata kama anakula mtu akitamka tu "Magufuli" anasita kula kwa muda na kuangalia kulia na kushoto halafu ndio anaendelea kula. HAPA KAZI TU.
JENEZA LINALOTEMBEA = LOWASSA
HALIWEZI KUSHINDANA NA MKAKAMAVU = MAGUFULI
Ikulu si gym club!
JPM AMTIA PRESHA ENL:
Habari za ndani zinasema kuwa mgombea wa Ukawa amekuwa na tabiaa ya presha kupanda na kushuka kila mara kisa kikitonywa kuwa ni Magufuli,unaambiwa jamaa usingizi wake ni wa tabu kwa kumuwaza jamaa kwa kigezo kuwa jamaa ni muadilifu,mfatiliaji,mtekelezaji na muaminifu na hivyo kuhofu kuwa wananchi walio wengi na wana misimamo watamchagua
JPM AMTIA PRESHA ENL:
Habari za ndani zinasema kuwa mgombea wa Ukawa amekuwa na tabiaa ya presha kupanda na kushuka kila mara kisa kikitonywa kuwa ni Magufuli,unaambiwa jamaa usingizi wake ni wa tabu kwa kumuwaza jamaa kwa kigezo kuwa jamaa ni muadilifu,mfatiliaji,mtekelezaji na muaminifu na hivyo kuhofu kuwa wananchi walio wengi na wana misimamo watamchagua
Kwa kweli Magufuli amefanya mengi mazuri, hata wakazi wa Dsm na Bagamoyo wanalifahamu hili. Meli ya kisasa kabisa ya gharama kubwa aliyotuletea haijawahi kutokea sehemu yoyote Duniani.
Kikubwa kabisa inafanya kazi saa 24 x 7.
JPM AMTIA PRESHA ENL:
Habari za ndani zinasema kuwa mgombea wa Ukawa amekuwa na tabiaa ya presha kupanda na kushuka kila mara kisa kikitonywa kuwa ni Magufuli,unaambiwa jamaa usingizi wake ni wa tabu kwa kumuwaza jamaa kwa kigezo kuwa jamaa ni muadilifu,mfatiliaji,mtekelezaji na muaminifu na hivyo kuhofu kuwa wananchi walio wengi na wana misimamo watamchagua
Lowasa kupagawa utasubiri sanaUnafikiri asipopata uraisi atafanyeje wakati katoa hela nyingi si chadema,si kuchukua hela za wafanyabiashara ili aingie ikulu,lazima apagawe