JPM AMTIA PRESHA ENL:
Habari za ndani zinasema kuwa mgombea wa Ukawa amekuwa na tabiaa ya presha kupanda na kushuka kila mara kisa kikitonywa kuwa ni Magufuli,unaambiwa jamaa usingizi wake ni wa tabu kwa kumuwaza jamaa kwa kigezo kuwa jamaa ni muadilifu,mfatiliaji,mtekelezaji na muaminifu na hivyo kuhofu kuwa wananchi walio wengi na wana misimamo watamchagua

Mi nafikiri lowasa jamaa wangetafuta gea,wamdanganye kuwa magufuli kajiuzulu!ili jamaa aweze kufanya kampeni bila presha,kule kutetemeka jukwaan inaweza kuwa ni mawazo tu pombe magufuli,maana nae huyu jamaa kama wewe si msafi,jina lake tu unaweza banwa na haja ...
Na presha ndiyo ilomfanya Magufuli akanywe kikombe kwa babu wa Loliondo..
Lowasa ni chaguo la Mungu.
Kwa kweli katika kipindi ambacho kimekuwa kigumu katika maisha ya Lowasa hakuna kama sasa: Bora hata alivyoenda "vitani" hakukutana na hali ngumu kama sasa, Nasikia hata kama anakula mtu akitamka tu "Magufuli" anasita kula kwa muda na kuangalia kulia na kushoto halafu ndio anaendelea kula. HAPA KAZI TU.
jpm amtia presha enl:
Habari za ndani zinasema kuwa mgombea wa ukawa amekuwa na tabiaa ya presha kupanda na kushuka kila mara kisa kikitonywa kuwa ni magufuli,unaambiwa jamaa usingizi wake ni wa tabu kwa kumuwaza jamaa kwa kigezo kuwa jamaa ni muadilifu,mfatiliaji,mtekelezaji na muaminifu na hivyo kuhofu kuwa wananchi walio wengi na wana misimamo watamchagua
JPM AMTIA PRESHA ENL:
Habari za ndani zinasema kuwa mgombea wa Ukawa amekuwa na tabiaa ya presha kupanda na kushuka kila mara kisa kikitonywa kuwa ni Magufuli,unaambiwa jamaa usingizi wake ni wa tabu kwa kumuwaza jamaa kwa kigezo kuwa jamaa ni muadilifu,mfatiliaji,mtekelezaji na muaminifu na hivyo kuhofu kuwa wananchi walio wengi na wana misimamo watamchagua
Hofu inazidi kumtanda Makufuri, kwan Edo akiingia madarakani lazima aeleze umma ufisadi alioufanya kwenye Ujenzi wa barabara kwa kuiba mita moja, si hilo tu hofu aliyonayo ni kurudishwa nyumba za serikali anahofu ya wale ndugu zake na demu wake kupokonywa nyumba walizojimilikishia kiujanja janja!
Msijipongeze kuna mengi tua ambayo Makufuri anawaza Na hapati jibu, ununuzi wa meli feki, hasara ya kukamata meli ya samaki kwa jeuri bila kufuata taratibu, yaani nyie acgeni Makufuri anashida kuliko mnavyosema! Time will tell subiri mtaona.
Ndiyo maana Mungu alijificha vinginevyo angewaumbua sana watu kama nyie, unauhakika gani amepata kibali cha Mungu huyo uliyemtaja hapo? Vuta subira chaguo la Mungu atajulikana atakapoapishwa mshindi uwanja wa TAIFA.Na presha ndiyo ilomfanya Magufuli akanywe kikombe kwa babu wa Loliondo..
Lowasa ni chaguo la Mungu.
mtoa mada ebu tuambie ni lini umewahi kulala bila kumuwaza lowassa?
Ni lini umewahi kukaa dakika tano bila kuwaza lowassa?
Ni lini wanaccm wamefanya mkutano wowote wa kampeni bila kumtaja lowassa?
Wenye presha ni ninyi ambao mnamtaja lowassa zaidi mnavyomtaja mungu anayestahili kutajwa mara kwa mara....