Ndiyo maana mara nyingi Magufuli amesikika mara kwa mara akiwasihi watanzania wamwombee kwa Mungu kutokana na 'mapambano' aliyoyaanzisha na vigogo.Wakuu, niko Rachel bar Moshibar .- Ukonga. Pembeni yangu kuna watu watano wanapata bia. Katika hali ya kustaajabisha namsikia jamaa mmoja akilaani kitendo cha mh. rais kufuta sherehe za uhuru. Anaelezea jinsi gani rais anavyojijengea chuki na watumishi wa umma. Jamaa anahitimisha kwa kutolea mfano yeye akiwa daktari kwenye sherehe za uhuru hutoka na shilingi laki tatu. Anajiapiza kuwa Magufuli atarogwa kwa sababu hii ya kuwanyima ulaji.
Baada ya kuyasikia haya nasema moyoni mwangu, bado safari ni ndefu sana kufikia mageuzi ya kweli. Juzi nilimsikia mama mmoja akilalamika kuwa mwalimu mkuu (shule hakutaja ) alimwambia wazi wazi kwamba kitendo cha kuondoa michango na tuition mashuleni hakikubaliki. Kwamba walimu hawajafurahi hata kidogo, kisha akamwahidi mama huyo kuwa baada ya miezi sita mtakuja kutupigia magoti mkiomba tuition.
Hivi watanzania tumekuwaje hasa!? Unataka nini? Mbona inavyoonekana "wasomi" ndio wanageuka kikwazo kwa mabadiliko chanya? Kundi la wasomi limegeuka kuwa wapigania maslahi binafsi. Tutafika kweli!!?
Mungu mtie nguvu rais wetu, tuko pamoja naye. Amina
Hao ni watu wa kunyongwa tu.
Umeposti saa tisa na nusu hivyo hao watu wanakunywa wakati wa kazi!
Huo ndo mfano wa watu wanaojifanya wanafanya kazi kumbe ni mizigo.
umeona ukiandika huu uzi utapata wateja haya ngoja waje
Afute kwanza posho za wabunge, inakuwaje anakomalia wafanyakazi tu?
so huyo mlevi mmoja ndio kwako ametosha kuwakilisha watumishi wa umma wa Tanzania??
Kuna mzungu aliwahi kunitania akisema Tanzania kwa posho ni kiboko. kuna:
Sitting allowance,
Sleeping allowance
Standing allowance
Running allowance
Walking allowance
Travelling allowance
Meeting allowance
Hebu weka majina ya hao madaktari tumpatie mkuu wa wilaya ya temeke awasweke rumande maana wana kunywa na kushinda bar muda wa kazi!Wakuu, niko Rachel bar Moshibar .- Ukonga. Pembeni yangu kuna watu watano wanapata bia. Katika hali ya kustaajabisha namsikia jamaa mmoja akilaani kitendo cha mh. rais kufuta sherehe za uhuru. Anaelezea jinsi gani rais anavyojijengea chuki na watumishi wa umma. Jamaa anahitimisha kwa kutolea mfano yeye akiwa daktari kwenye sherehe za uhuru hutoka na shilingi laki tatu. Anajiapiza kuwa Magufuli atarogwa kwa sababu hii ya kuwanyima ulaji.
Baada ya kuyasikia haya nasema moyoni mwangu, bado safari ni ndefu sana kufikia mageuzi ya kweli. Juzi nilimsikia mama mmoja akilalamika kuwa mwalimu mkuu (shule hakutaja ) alimwambia wazi wazi kwamba kitendo cha kuondoa michango na tuition mashuleni hakikubaliki. Kwamba walimu hawajafurahi hata kidogo, kisha akamwahidi mama huyo kuwa baada ya miezi sita mtakuja kutupigia magoti mkiomba tuition.
Hivi watanzania tumekuwaje hasa!? Unataka nini? Mbona inavyoonekana "wasomi" ndio wanageuka kikwazo kwa mabadiliko chanya? Kundi la wasomi limegeuka kuwa wapigania maslahi binafsi. Tutafika kweli!!?
Mungu mtie nguvu rais wetu, tuko pamoja naye. Amina
Unambana mwalimu huku analipa kodi na kupata net salary ya laki mbili halafu na mtu kama wewe unasupport ujinga wakati gas na mikataba mingine ya wakubwa haizungumzi. Ni upuuziWakuu, niko Rachel bar Moshibar .- Ukonga. Pembeni yangu kuna watu watano wanapata bia. Katika hali ya kustaajabisha namsikia jamaa mmoja akilaani kitendo cha mh. rais kufuta sherehe za uhuru. Anaelezea jinsi gani rais anavyojijengea chuki na watumishi wa umma. Jamaa anahitimisha kwa kutolea mfano yeye akiwa daktari kwenye sherehe za uhuru hutoka na shilingi laki tatu. Anajiapiza kuwa Magufuli atarogwa kwa sababu hii ya kuwanyima ulaji.