Kifo sio adhabu kwa mwanadamu bali ni haki yetu ya kuishi na kufa. Tusikufuru.
Yesu tunaye muamini ALIZALIWA na KIFO kika mrudisha kwa Baba yetu aliye Mbinguni,basi,sisi ni nani hadi tusiguswe na kifo?