Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 1,983 Mar 12, 2021 #1 Habari zilizo tufikia punde ni kuwa mhe Magufuli hatunae Tena duniani... Ulazwe unapo stahili
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,867 Reaction score 37,626 Mar 12, 2021 #2 Una matatizo wewe!
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 1,983 Mar 13, 2021 Thread starter #4 Christine1 said: Una matatizo wewe! Click to expand... Unaelewa maana ya tetesi? Subiri tangazo rasmi
Christine1 said: Una matatizo wewe! Click to expand... Unaelewa maana ya tetesi? Subiri tangazo rasmi
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,341 Reaction score 15,829 Mar 13, 2021 #6 Tutolee ufala hapa
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,558 Mar 13, 2021 #7 Daah unafaidika nini??
M Missile of the Nation JF-Expert Member Joined May 24, 2018 Posts 16,856 Reaction score 62,349 Mar 13, 2021 #8 Amsalimie Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye, Wananchi wa Kibiti, Masheikh wa mikoa ya kusini, na wananchi wa Zanzibar waliotolewa uhai wao kwa udhalimu na dhulma kubwa! Mungu hana mchezo, fimbo yake ni kali!
Amsalimie Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye, Wananchi wa Kibiti, Masheikh wa mikoa ya kusini, na wananchi wa Zanzibar waliotolewa uhai wao kwa udhalimu na dhulma kubwa! Mungu hana mchezo, fimbo yake ni kali!
Rebeca 83 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 15,475 Reaction score 33,038 Mar 13, 2021 #9 As much as ni mpinzani wetu, hatujafikia Levo ya kumuombea kifo!
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 Mar 13, 2021 #10 Khaji Maksudi said: Mods futeni huu uzi uzushi mtupu sio vizuri kumuombea mtu mabaya it's not fair Click to expand... Uwe unareport basi ili tuchukue hatua haraka
Khaji Maksudi said: Mods futeni huu uzi uzushi mtupu sio vizuri kumuombea mtu mabaya it's not fair Click to expand... Uwe unareport basi ili tuchukue hatua haraka
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,193 Reaction score 74,006 Mar 13, 2021 #11 Mnazingua
Paroco JF-Expert Member Joined Dec 24, 2017 Posts 2,579 Reaction score 10,927 Mar 13, 2021 #12 Kiraka Kikuu said: Habari zilizo tufikia punde ni kuwa mhe Magufuli hatunae Tena duniani... Ulazwe unapo stahili Click to expand... Ni khabri za kueli kueli au unatuzungushia dawa ya mbu hapa
Kiraka Kikuu said: Habari zilizo tufikia punde ni kuwa mhe Magufuli hatunae Tena duniani... Ulazwe unapo stahili Click to expand... Ni khabri za kueli kueli au unatuzungushia dawa ya mbu hapa
kookaburra JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 562 Reaction score 1,420 Mar 13, 2021 #13 😭😭😭😭😭😭😭 Kama uzi umeishi kwa dakika 10 ji kweli. Ni kweli ni kweli hatutamuona tena ni kweli
Makungwe Member Joined Jul 25, 2019 Posts 43 Reaction score 81 Mar 13, 2021 #14 Kwa hiyo jamiforums imekuwa kama kijiwe kama facebook mods futa uzi huu haraka na kwann mmeuruhu kuwepo jukwaani ?
Kwa hiyo jamiforums imekuwa kama kijiwe kama facebook mods futa uzi huu haraka na kwann mmeuruhu kuwepo jukwaani ?
Halaiser JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,685 Reaction score 7,511 Mar 13, 2021 #15 Kiraka Kikuu said: Habari zilizo tufikia punde ni kuwa mhe Magufuli hatunae Tena duniani... Ulazwe unapo stahili Click to expand... Tupe na source ya habari hii au ni wewe mwenyewe Mkuu??
Kiraka Kikuu said: Habari zilizo tufikia punde ni kuwa mhe Magufuli hatunae Tena duniani... Ulazwe unapo stahili Click to expand... Tupe na source ya habari hii au ni wewe mwenyewe Mkuu??
zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,078 Reaction score 26,008 Mar 13, 2021 #16 acheni ujinga wakuu
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 1,983 Mar 13, 2021 Thread starter #17 Hazard CFC said: Jf ombeni sana wasilione hili bango..huu mtandao wenu unaweza baki tu kwenye historia kwamba kuliwahi kua na mtandao wa jf Click to expand... Ni tetesi
Hazard CFC said: Jf ombeni sana wasilione hili bango..huu mtandao wenu unaweza baki tu kwenye historia kwamba kuliwahi kua na mtandao wa jf Click to expand... Ni tetesi
M Missile of the Nation JF-Expert Member Joined May 24, 2018 Posts 16,856 Reaction score 62,349 Mar 13, 2021 #18 Hazard CFC said: Jf ombeni sana wasilione hili bango..huu mtandao wenu unaweza baki tu kwenye historia kwamba kuliwahi kua na mtandao wa jf Click to expand... Hivi nyie mnadhani mko very much concerned kuliko wenye JF. Wenye JF watskuwa wameshajua kitu ndo maana huu uzi umeachwa, na ndo maana umeletwa usiku wa manane ili public iamke na taarifa
Hazard CFC said: Jf ombeni sana wasilione hili bango..huu mtandao wenu unaweza baki tu kwenye historia kwamba kuliwahi kua na mtandao wa jf Click to expand... Hivi nyie mnadhani mko very much concerned kuliko wenye JF. Wenye JF watskuwa wameshajua kitu ndo maana huu uzi umeachwa, na ndo maana umeletwa usiku wa manane ili public iamke na taarifa
M Missile of the Nation JF-Expert Member Joined May 24, 2018 Posts 16,856 Reaction score 62,349 Mar 13, 2021 #19 Hazard CFC said: Jf ombeni sana wasilione hili bango..huu mtandao wenu unaweza baki tu kwenye historia kwamba kuliwahi kua na mtandao wa jf Click to expand... Hivi nyie mnadhani mko very much concerned kuliko wenye JF. Wenye JF watskuwa wameshajua kitu ndo maana huu uzi umeachwa, na ndo maana umeletwa usiku wa manane ili public iamke na taar
Hazard CFC said: Jf ombeni sana wasilione hili bango..huu mtandao wenu unaweza baki tu kwenye historia kwamba kuliwahi kua na mtandao wa jf Click to expand... Hivi nyie mnadhani mko very much concerned kuliko wenye JF. Wenye JF watskuwa wameshajua kitu ndo maana huu uzi umeachwa, na ndo maana umeletwa usiku wa manane ili public iamke na taar