Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,632
Wanabodi!
Hatimaye uchaguzi mkuu umeisha na Dr Magufuli John Pombe Joseph ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha urais.
Katika mikutano ya mgombea urais anayeungwa na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi(ukawa) kwamba atatoa elimu bure na kuwafanya wanafunzi wengi kuwa matumaini nae kutoka na umaskini miongoni watanzania.
Hivyo kushindwa kwa mh.lowassa kumepelekea kupotea kwa matumaini kwa wanafunzi wengi.matumaini hayo yameyayuka kutokana na maono kwamba ccm ndo ileile.
Je rais wetu huyu wa awamu ya 5 aliahidi nini kuhusiana na elimu yetu ili tuendelee kuyaishi na kuamini kuwa ipo siku atafanya mana ameseme HAPA KAZI TU.
Karibuni kwa michango yenu wakuu.