makoko jumanne
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 584
- 164
ngome ya ukawa katika mikoa ya kanda ya ziwa imebomolewa kwa kishindo na mgombea urais wa ccm dkt john pombe magufuli zikiwa zimebaki takribani siku nne kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba 25 kote nchini hali inayompa nafasi kubwa mgombea huyo kushinda katika uchaguzi huo kwa kile kinachodaiwa ni kuungwa mkono na watanzania wengi,mijini na vijijini,wazee kwa vijana wanamuunga mkono mgombea huyo kwa kile walichodai kuwa ni mzalendo na mchapakazi.

Tafiti nilizofanya nimegundua ni rahisi sana mwana ccm kubadilika na kumpa kura lowassa kuliko mwana ukawa kubadilika na kumpa kura magufuli!,matokeo tutaona
Tangu mmeanza kusema Magufuli aibomoa UKAWA kanda ya ziwa ina maana kazi ya kuibomoa UKAWA kanda ya ziwa huwa haishi?maana yake kila Magufuli anapo kwenda kanda ya ziwa kufanya kampeni kinachofuata ni Magufuli aibomoa UKAWA kanda ya ziwa,hii ni kazi gani isiyokwisha?kama kazi ya kuibomoa UKAWA katika Kanda moja tu inamshinda pamoja na kupiga trip zaidi ya 100 akipewa urais wa Tanzania nchi yenye matatizo kila pembe si ndo tutamzika kabisa.ngome ya ukawa katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa imebomolewa kwa kishindo na mgombea urais wa ccm Dkt John Pombe magufuli zikiwa zimebaki takribani siku nne kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba 25 kote nchini hali inayompa nafasi kubwa mgombea huyo kushinda katika uchaguzi huo kwa kile kinachodaiwa ni kuungwa mkono na watanzania wengi,mijini na vijijini,wazee kwa vijana wanamuunga mkono mgombea huyo kwa kile walichodai kuwa ni mzalendo na mchapakazi.