gamaweshi belo
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 453
- 173
Kama ungekuwa na hiyo ELIMU wewe, ungejikita kwenye mada iliyo mezani, nayo ni "Sheria ya manunuzi ya Serikali"! Kwanza kunyoosha vidole hakuisaidii kuwa bora kama yenyewe ni mbovu, au mbovu kama yenyewe ni bora! Ungetumia hiyo ELIMU yako kuichambua sheria husika kuonesha "ubovu" wake au "ubora" wake, ungalionesha tofauti kuwa wewe ni GT!!!
Mkuu unadhani hata anajua ubaya au uzuri wa sheria yenyewe uko wapi zaidi ya kumsikia mnyika kasema mbaya basi nae ameyabeba maneno kama yalivyo na kuja kusumbua huku elimu, elimu nakati yy bado