Magufuli aendelea kuzoa kura za Mwanza

Magufuli aendelea kuzoa kura za Mwanza

Mkamba Mmasai

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2015
Posts
384
Reaction score
65
[h=3][/h][h=2] [/h] Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mabatini jijini Mwanza ambapo aliwaambia kuwa atakapochaguliwa oktoba 25 atahakikisha anawatumikia Watanzania kwa nguvu zote na kuleta maendeleo.
Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Buzuruga jijini Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea Magu kwenye mkutano wa kampeni.
Hii ndio furaha ya watu wa Mwanza hata wenye taulo walijitokeza.
Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kisesa wakati akiwa njiani kuelekea Magu.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo akitoa maelekezo kwa wapiga kura wa CCM waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Magu.
Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Magu kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Magu.






Mheshimiwa Magufuli aendelea kuiteka Mwanza. Wakazi wa Mwanza wamhakikishia ushindi mnono.

Mr. Chin
 
Kura amezoa wapi? Uchaguzi si bado? Unaandika kwa ushabiki mpaka unaharibu maana ya unachotaka kusema. Ukweli ni baada ya October 25.
 
maghufuli jana kawadanganya wana mwanza kwamba ataifanya mwanza kuwa giniva ya afrika. haaa haa....
 
Tafadhali sana warudishwe mikutano ikiisha.
 
Mbona kakimbia mdahalo au mganga wake magufuli kafa nini?
 
Kama Mwanza ndio kapata watu wachache hao, basi CCM bye bye
 
Daaah, jamaaa hana huruma kwa Lowassa kabisa, kamchinja Kobe live
 
Mmhhh haya maroli hata ukawa yapo tena wanajazana kweli nimeona jana tunduma
 
Hawa jee hawabebwi
 

Attachments

  • 1445177905327.jpg
    1445177905327.jpg
    27.5 KB · Views: 318
Back
Top Bottom