Magufuli aagana na rafiki yake Odinga

Mwenzake Uhuru yuko Paris, ku-negotiate na wakuu wa kampuni ya TOTAL ya ndo kwanza anachukua likizo kabla hata ya miezi 6??? maisha mtaani magumu kama nini, mapato ya TRA hayaeleki, bandarini kumepooza, elimu bure majanga! MCC haieleweki, sidhani kama ni busara kupumzika wakati nchi hata inapita kwenye wakati mgumu kiasi hiki!
 
Fupa halina nyama wala mvuto! Kazi anayo Ngosha!
 
Hivi uyo dada nyuma yao ndo yule anayesukaga twende kilioni?
 

Hata Wakati Magufuli Anaiweka Nchi Sawa Kutoka Kwa MAFISADI Walioimaliza Nchi Hii Huyo UHURU Kenyatta Alikuwa The Hague Akihangaika Kujibu Tuhuma Zilizokuwa Zikimkabili. Mwisho Nakusihi Sana Jifunze Kutofautisha Yanayotokea Kenya Na Tanzania Na Hasa Zaidi Suala Zima La Presidential Protocals.
 
Jibu zuri sana la kiuweledi wa hali ya juu.
 
kuweka sawa gani na miCCM yote ni mijizi tu miaka hamsini na mbili ni zerooooo
 
magufuli asipokuwa makini atasababisha mgogoro na rais Uhuru Kenyata...Haya mambo ya urafiki na wapinzani wa serikali sio mazuri kabisa..Kesho Uhuru Kenyata akianzisha urafiki na Maalim Seif itakuwaje
 
URAFIKI NI ZAIDI YA KILA KITU. TUMUOMBEE ODINGA ATINGE IKULU YA KENYA ILI TUWE WAMOJA
 
Akili Kama hizi!
Kweli division 5!
 
Ccm ikiona hivi mashavu yanawashuka kwa sababu mrengo wa Raila ni wa kipinzani zaidi
 
asante kwakuondoka ila nataka kujua ulipo kuwa bkwetu ulikuwab unalishwa na nchi au magu?
 
Hapo ndipo inabidi kujifunza tofauti ya kukaa ofisini na kufanya kazi.
Wanadai hadi sasa madudu aliyokwisha weka wazi JPM hayafiki hata 5% ya madudu yote, sasa ujiulize wakati yote yanatokea JK alikuwa kazini au alikuwa likizo!? ...au ndio tafsiri ya kukaa nusu ya muda wake wa utawala akiwa safarini!
 
Mbona nyie wanafunzi mnasumbua sana ivii shule hazijafungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…