Magroup ya Harusi WhatsApp yanakera!

Mi Nina group huko wasap kuna watu wanataka kuoa tena hatukuwa close kiivyo wala nini na tulipoteana miaka kibao tena kuna wwngine wanadharau balaa .

Halafu wanataka mchamgo Leo wanakutajia fixed amount kabisa eti single na double khaa[emoji15] [emoji119]

Halafu wanavyoomba mchango na kuleta shombo flani za kuponda[emoji14]
 
Waambie huwezi toa hela yako kwa omba omba wenye nguvu zao, we unachangia matatizo tu! sio anasa
yani waafrica sisi tupo nyuma kwa kila kitu mkuu
 
Huu ujinga wa kuchangia harusi sinta kaa nifanye. Kama nashida ya kuharibu fedha zangu bora nizipelekee bar .
 
Hivi ni kuleft group ? auku leave group yani simple past tense inasumbua watu unakuta mtu anamwambia kwanini usileft.....
 
WhatsApp wangeweka option ya kukubali na kukataa ku-join group
 
Unamlalamikia nani humu JF huko kwenye group umelazimisha kuwepo?
 
Unamlalamikia nani humu JF huko kwenye group umelazimisha kuwepo?
 
Nadhani Tatizo ni Ugumu wa maisha (kwa kipindi hiki). Lakini dhana nzima ya kuchangia na kuchangishwa haina Tatizo. Sisi waafrika kwa utamaduni wetu tunaishi maisha ya pamoja (ya kijamaa). Na harusi ni kitu cha kipekee kwenye historia ya maisha.
Kinachokera ni tabia ya watu kutaka kufanya sherehe kubwa ya kifahari kuliko uwezo wao. Sasa wanaanza kusumbua wengine na kuwapangia kiasi cha kuchanga!!!!
 

Kuchangia sawa ila aisee eti harusi mil 20 naseema sichangi.

Harusi hane mun south africa,Anabebwa na Vogue,Ukumbi mliman city,nooooooo
 
Kinachokera ni tabia ya watu kutaka kufanya sherehe kubwa ya kifahari kuliko uwezo wao. Sasa wanaanza kusumbua wengine na kuwapangia kiasi cha kuchanga!!!!

Sidhani kama mtu aweza kumpalamia mtu bila kuwa na ukaribu nae.
 
Hehehe watanzania tuna matatizo mengi dahh. Fanya harusi kulingana na uwezo wa familia yenu. Harusi ni swala la familia. alika watu kulingana na budget yako waalikwa kwa uwezo wao watakuja na zawadi. Hata kuchangisha marafiki sio sawa.
 
Naleft wananirudishaaa

Mbona kazi ndogo. Post picha na video za Messi na Ronaldo mfululizo, emoji na maandishi ya kiarabu kila unapopata nafasi. Haitachukua zaidi ya siku 2 kabla hujaleftishwa.

ANGALIZO: Wakati unapost mankonkofigjo hakikisha husomi chochote wanachopost wengine.
 
Kuna jamaa mmoja nilikuwa nakwepa kumchangia ila aliponiadd kwny group WhatsApp nikawa sina ujanja, kujitoa naona so dah!
 

Word !!
 
mi waliniweka kwa group nikaleft fasta, wengine unakuta hamjawasiliana kwa miaka lakini kwenye ishu ya michango ya harusi unatafutwa kwa lazima. Huku tunaisoma namba na watu wanatuongezea shida nyingine za michango ya harusi kila kona.
Ukishamchangia anapotea
 

si ujiUK tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…