Magreth Sakaya ametambuliwa na Msajili wa vyama kama Katibu Mkuu wa CUF

Jereman

Senior Member
Jun 29, 2016
140
124
Katika pitapita zangu nmekutana na hii barua sina uhakika kama ni ya kweli mwenye information zaidi naomba ufafanuzi
ab624ec3e446b67e3f2c82fd77155b25.jpg
 
Katika pitapita zangu nmekutana na hii barua sina uhakika kama ni ya kweli mwenye information zaidi naomba ufafanuzi
ab624ec3e446b67e3f2c82fd77155b25.jpg
Hongera sakaya mwanamke WA kwanza Tanganyika na Zanzibar kuwa katibu mkuu wa chama cha siasa. Haijawahi tokea mwanamke nchi hii kwa mwanamke kuwa katibu mkuu wa chama. Hata CCM haijawahi tokea. Vyama vyote vya siasa viige CUF kuwaamini akina Mama kwenye madaraka makubwa. CUF, hongereni mnajali akina mama mheshimiwa mwenyekiti wa CUF profesa Lipumba na Hongera CUF kwa kuonyesha njia. Vyama vyote tukiwemo CCM tuwaige CUF. Sakaya iwekwe kwenye rekodi ya siasa kuwa alikuwa mwanamke wa kwanza kuwa katibu mkuu wa chama. Nimefurahi Sana. Hongera sakaya
 
Hakuna sheria yoyote ile nchini inayomruhusu mtu aliyejiuzulu kwenye chama kurudi chamani bila ya baraka za wanachama na viongozi wa chama husika kisha kutaka kufanya ujambazi wa ruzuku mchana kweupe! Acha uongo!

Tatizo sheria huwa inafeva pande zote..akipata dhamana lema na lijualamoto mnacheeeeeka. Lakini ikiwa tofauti mnachoooonga. Sijui mkoje tu.jaribuni kumwiga mbowe. Huyo jamaa kuna kipindi huwa namkubali sana ana busara sana.
 

Huyu si alijiuzulu!? Lini kapata baraka za wanachama na viongozi kurudi chamani!? Acheni kuonyesha ujuha wenu hadharani!

Na huyo msajili wa chama uchwara hana mamlaka yoyote ya kumrudisha huyu jambazi kinyemela wala kumkabidhi ruzuku ya mamilioni chungu nzima ya chama ambacho yeye si mwanachama.


kaka umesema kwel yan wakishinda kes wanaisifia sheria na wao wanajiona ni wababe wa sheria ila sheria hiyo waliosufia ikiwageukia wanaanza kutokwa povu badiliken muachekushikiwa akili zenu

kuwa huru ktk kufikir bna
 
Nachoona Mimi ni Cuf Kumfia Lipumba Mikononi na Watakaofaidika Ni Ukawa Pale Siku Seif Sharif Ahmad Atakapokwenda Chama Kingine Ndani ya Ukawa Na Wafuasi Wake Wote Ndiyo Utakuwa Mwisho wa Lipumba na Mamluki Wake.

Yangu Macho and Stay Tuned, Siasa ni Mchezo Tu
 
Huyo kaimu msajili wa vyama vya siasa ndie ameanza kuwa flont wakati msajili anajificha, eti amepokea barua na kaisoma katiba ya CUF na amekubaliana nayo. Mimi namtaadhalisha aangalie sana, kujiingiza kwenye mambo ya hatari akajua mzaha. Mbona hajatuambia lini mtu akijiuzuru anaweza kurudishwa kwenye madaraka na msajili, asicheze na watanzania kabisa. Muda utakuja kumkumbusha.
 
Back
Top Bottom