magonjwa ya wanawake...

Scorpio Me

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
6,119
7,933
Habari...

Kwa anaejua daktari mzuri wa magonjwa ya wanawake please anijuze...
Especially kwa Dar....au hata hospital nzuri yenye inatoa huduma nzuri kwa magonjwa ya wanawake....
 
Kuna Hospital moja ipo mikocheni eneo la mwinyi ukiuliza wanaweza kukuonyesha inaitwa IVF naonaga ma dadaz wengi wanatimba maeneo hayo,ni ya wanawake na ina deal sana na masula ya uzazi
 
siku hizi sikioni sana humu jukwaani kumbe unaumwa! poleeee eeh
 
Back
Top Bottom