Wadau humu jf, najua wengi humu mnauelewa na maeneo mbalimbali hapa jijini.Napenda kujua kwanini pale magomeni panaitwa magomeni usalama au chang’ombe usalama
Wadau humu jf, najua wengi humu mnauelewa na maeneo mbalimbali hapa jijini.Napenda kujua kwanini pale magomeni panaitwa magomeni usalama au chang’ombe usalama
Panaitwa usalama kwa sababu siku za nyuma kulikuwa na kituo kikubwa cha polisi ambacho kwa sasa kimehamishiwa Polisi Mburahati.Hi ndio sababu ya hapo kuitwa usalama
Usalama barabarani na uraia sio usalama unaoujua wewe usalama wa vitengo vya kutekana na kutokurudi tena uraiani sio ule usalama unaoujua wewe wa kulinda viongozi madarakani hata km wanaiba na kukwapua mali za umma bila uoga