Magodoro

lipi sasa zuri,na linadum kati ya comfy na Tanform na wapi yanapatikana kwa urahisi?
msaada wenu wakuu.
 
Godoro Lanini? Mimi Wakati Natumia Teremka Tukaze, yaani ni full kuenjoy.

mgodoro mazuri ni yale ya upepo nhata makochi yake unajaza upepo then unavisha cover na hata kuhamisha simple.
 
Tan foarm ni namba one followed by magodoro dodoma and three ndo comfy. I advise you to buy tanfoarm hutajuta .mimi natumia nimenunua since 2002 lakini bado ni bomba. Its cost is a bit high but it pays. Nakuhakikishia utasahau habari ya kununua godoro for next 15-20 years.

lipi sasa zuri,na linadum kati ya comfy na tanform na wapi yanapatikana kwa urahisi?
Msaada wenu wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…