Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 663
- 610
Kama unataka godoro ambalo halibonyei Tanfoam ni nzuri
LipoKuna Godoro Kweli Lisilo Bonyea..??
Kwani unatokea kijiji gani mkuu...🤔Kuna Godoro Kweli Lisilo Bonyea..??
Lipo
Kwani unatokea kijiji gani mkuu...🤔
Mimi godoro linalobonyea linaniumiza mgongo.Kama Halibonyei Hilo Sio Godoro Ni Mbao....Natokea Tarakea Mkuu..
Ohhhhh.....Kama Halibonyei Hilo Sio Godoro Ni Mbao....Natokea Tarakea Mkuu..
Density ipi?Magodoro dodoma na Yale ya arusha kiboko
Halibonyei? Huwa linavimba?Kama unataka godoro ambalo halibonyei Tanfoam ni nzuri
Langu halibonyeiHalibonyei? Huwa linavimba?
Sasa kama halibonyei utapataje utamu?Lipo