black chinese
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,148
- 1,228
Hello.. necta kwa uzembe wamepoteza kumbukumbu za vyeti vyangu hivyo kusababisha niwekwe kwenye kundi la watu wenye vyeti feki..
Nataka kurudi kijijini kujaribu kilimo lakini nimekwama nauli kwa sababu sijapewa mshahara wa mwezi uliopita..
Hivyo imenilazimu kuuza magodoro yangu mawili ambayo bado yapo katika hali nzuri.. yote mawili kwa 500k.. ila ukitaka moja utanipa 300k.. bei ni fixed.
Serious buyers tuwasiliane kwa pm
Location: Mbagala