Kiongozi, naona umekata tamaa kabisa. Vipo vitu vingi tu tunavyoweza kufanya.
1. Ku-elianate maeneno ambayo ni hazardous.
2. Kutoa elimu kwa wakazi jinsi ya nini kifanyike inapotokea hali kama hiyo.
3. Kuwa na timu za ukoaji pindi tukio linapotokea ili kuokoa maisha na mali inapowezekana.
4. Kuwa na malengo ya muda mrefu, kama mambo ya ujenzi unaozingatia unyeti wa eneo na matukio kama haya.
5. etc