Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,202
Katika kipindi kinachokwenda live kila siku ndani ya magic fm katika segment ya tunapaka Rangi naona leo wanamkaanga ndugu kailima .
Majibu anayoyatoa humo ni kujikanyaga kanyaga tu ata aeleweki .
Asanteni magic fm leo ndio nimejua how they are.
....
Ongera kwako .
Mkambala na wenzako kwa kuwa real katika kipindi cha leo.
Majibu anayoyatoa humo ni kujikanyaga kanyaga tu ata aeleweki .
Asanteni magic fm leo ndio nimejua how they are.
....
Ongera kwako .
Mkambala na wenzako kwa kuwa real katika kipindi cha leo.