Magesa Mulongo kufanya mkutano wa hadhara na wananchi Musoma

Musoma Yetu

JF-Expert Member
Mar 11, 2016
2,633
2,297
Baada ya kumkaribisha mkuu wa mkoa wa Mara, karibu Mara Yetu, leo Mheshimiwa ana kikao cha hadhara na wananchi wote wa Musoma mjini leo saa tisa na nusu jioni. Sijajua lengo, lakini nitawajuza.
 
Aje kwa adabu,hapa kwetu musoma asilete za Arusha na mwanza..kwanza amefikia wapi? Asije akagoma kufikia kwenye nyumba yake aliyopangiwa na serikali Kama alivyo fanya mwanza.
Watu wa musoma ni wakarimu,wanyenyekevu na wachapa kazi..Ila akiwakoroga kidogo tu,ataomba kuhamishwa mwenyewe,musoma hatukubali kunyanyaswa.
 
Back
Top Bottom