Magesa Mulongo: Amani kwanza haki baadae

He has it assbackwards.

He needs to listen to some Peter Tosh.

"There won't be no peace, until there's equal rights, and justice"

 
Last edited by a moderator:
alivyokuwa dc wa bagamoyo alikuwa mla rushwa mkubwa,alijifanya mkali kwenye ufisadi jioni anakutana nao anakatiwa share yake..ufisadi wake unajulikana vizuri..nenda halmashauri ya bagamoyo watendaji wote wanaujua ufisadi wake..mnafki mkubwa
 
Tusimlaumu kwani hawa huwa wanapoteza hata misafara ya Mwenge. Wanasubiri vikao vya ccm tu.
 
Uwepo wa HAKI ndio huleta AMANI. Pasipo HAKI hakuna AMANI. Kwa hiyo, HAKI kwanza, kwani AMANI ni tunda la HAKI.
 
HAki halafu amani baadae?? daH!! Naona huyu umanju bado unakiliki akili yake!!
 
sichangii hoja hii hadi itakapothibitika bila ya mashaka yoyote kwamba huyu bwana ana akili nzuri.
 
alivyokuwa dc wa bagamoyo alikuwa mla rushwa mkubwa,alijifanya mkali kwenye ufisadi jioni anakutana nao anakatiwa share yake..ufisadi wake unajulikana vizuri..nenda halmashauri ya bagamoyo watendaji wote wanaujua ufisadi wake..mnafki mkubwa
karibu viongozi wote wa serikali ya sasa hawana tofauti na watumia drugs,hawana akili kabisa.
 
akihutubia baraza la madiwani na watendaji wa halmashauri ya meru katika ufunguzi wa tovuti ya halmashauri hiyo mkuu wa mkoa wa arusha ndg Magesa Mulogo amesema hakuna haki bila amani hivyo ameaonya wananchi kufuata sheria na kudumisha amani kabla ya kudai haki zao.amesisitiza kuwa huwezi kudai haki iwapo hakuna amani.

Source:mimi mwenyewe kutoka eneo la tukio.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA


jina lake lenyewe linaonyesha huyu jamaa ni MUONGO. kwa hiyo simshangai sana anavyobadilisha maneno la mbele nyuma na la nyuma mbele. ila nitawashangaa wananchi watakaomkubalia huyo MUONGO. Hii Tanzania kwa kweli mimi ninashanga kila kukicha, WASIO NA SIFA NDO WANAPEWA UONGOZI, WENYE SIFA WANAWEKWA KANDO.




Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waling'oe madarakani hili li serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI.
 
Wana JF msihangaike na huyo jamaa ni akili ndogo inaongoza akili kubwa so ni lazima atumie mabavu kusiko na ulazima ili mambo yaende.
Mchangiaji 1 amequote maneno ya Martin Luther, huyo RC kwani anasoma vitabu? na hata akisoma anaelewa basi?!!!!!!
 
Back
Top Bottom