akihutubia baraza la madiwani na watendaji wa halmashauri ya meru katika ufunguzi wa tovuti ya halmashauri hiyo mkuu wa mkoa wa arusha ndg Magesa Mulogo amesema hakuna haki bila amani hivyo ameaonya wananchi kufuata sheria na kudumisha amani kabla ya kudai haki zao.amesisitiza kuwa huwezi kudai haki iwapo hakuna amani.
Source:mimi mwenyewe kutoka eneo la tukio.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
mia pupy kumbe ulikuwepo pale shule ya muungano usa river wakati makarani wanamtolea uvivuMagesa hawajui wameru, mwambie amuulize yule mkuu wa wilaya ya arumeru yule mama aletoka majuzi kwa nini kakimbia??
Na amuulize huyu dogo wao DC mpya ni nini amekutana nacho kwenye Sensa.
Nduu Weeera Kiinya.
Sisi ni wapambanaji wavamagwanda kazi yetu kupambana. Huo wimbo wa amani waachieni CCM.
Huyu Mulongo ni mtu wa aina gani? mbona ni kama kijana tu na ni msomi? Iweje atoe kauli kama hii wakati kinyume cha kauli yake ndiyo ukweli yaani hakuna amani pasipo haki.