Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 655
Habari zenu wadau,
Kama kuna yeyote mwenye taarifa ya ajira za magereza lini zitatangazwa tunaomba atujuze mana tulisikia kwamba mwezi huu watatoa lakini mpaka sasa kimya na mwezi ndio huoooo unayoyoma.
Karibuni