Magereza ajira

Magereza ajira

Nimeskia wamefikia hatua ya uchakachuaji.
 
kashfa zngne sio jaman,we watachakachua vp?wakati hata majina ya usaili bado?au ukiitwa kwnye usail ndo unakua ushapata kazi?dah 2badilikeni 2ache kashfa zingne sio kabisaa nikwamba chamsingi kinachotakiwa ni 2vutesubira den 2mwombe Mungu 2fanikiwe
 
Hakuna ulemavu mbaya kama wa fikra, wala sio kosa lake huyo jamaa. Anaandamwa na ndoto mbaya mchana na usiku.
 
Sio ulemavu wa fikra na kuandamwa na ndoto mbaya za mchana pekee bali hata ubongo wangu umeparalyse tangu udogoni.
 
Back
Top Bottom