Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,771
Habari wadau?
Nimekua nikizipitia hizi platforms kwa muda ila bado sijapata jibu kamili!!
Je kati ya magento na woocommarce ni ipi nzuri hasa kwa website inayotarajiwa kuwa products nyingi?
Ni ipi nzuri kwa ku integrate na hizi local payment methods kama mpesa na tigo pesa?
Ni ipi nzuri kwenye swala la security??
Mawazo yenu wadau!!