Magenge hatari ya uhalifu duniani

Facts.... ninazo baadhi ya picha zao.

Hebu nielekeze kuweka picha na attachments kwa kila kielelezo maana mie nakwamaga sana yaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Facts.... ninazo baadhi ya picha zao.

Hebu nielekeze kuweka picha na attachments kwa kila kielelezo maana mie nakwamaga sana yaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi natumia app man, fanya kama you want to write something utaona option ya ku-add attachment gusa hapo, chagua pic unataka kuweka
 
Haya magenge sio kwamba ndio Usalama wa Taifa wa nchi mbali mbali?? maama nawaza yanawezaje ku-operate ndani ya nchi freely mpaka kupata umaarufu kama Taasisi?
 
Jamaa umetiririka uzi umeshiba
 
Umesahau kutaja kundi hatari waisrael
 
Pablo escobar alipokufa... Dunia ilipoa sana...

Japo haya makundi yanafahamika.
 
hil no 10 noma sn
 
Hao Mungiki ni wachumba tu!
hahahahaha mkuu nimecheka Sana Hii comment kiboko kwamba manyang'au wa Kikuyu ni wa kuposwa na kuchumishwa tembele na dog style?
Hizi dharau za leja leja ujue!
😂😂😂😂😂😂😂🔥
 
Marekani na ubabe wake inashindwaje kuyadhibiti magenge hatari katika ardhi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…