Asanteni sana, nilimwona daktari wa watoto. Alisema kuwa ni jambo zuri mtoto anapotangulia kuota meno, na hii ni dalili kubwa kuwa ana madini ya chuma yakutosha. na kwamba hayatadumu yatatoweka.
Hata hivo baada ya miezi sita kupita sikuyaona tena yale meno, yalitoweka.
Na kwa sasa ana meno mazuri na imara, ameanza shule Juzi.
Asanteni wote kwa michango yenu.