Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Ukitaka kuangalia upepo wa kisiasa unavyoendelea, utagundua Mhe. Magdalena Sakaya ameonyesha kukomaa kisiasa na kuzuia miemko ya nje.
Uchaguzi wa EALA umeonyesha jinsi alivyokuwa amepitisha majina ya wagombea wake 3 ukilinganisha na Seif aliyechagua mtu anayemtaka tu.
Uteuzi wa Seif ulilandana na wa CHADEMA ikionyesha Seif anaendeshwa na rimoti kwa mbali na magwiji wa siasa kutoka CHADEMA.
Kwa bahati mbaya kilichopo CUF ni mgogoro. Ila inaonyesha ameweza kuelewa nini maana ya kufuata sheria na kanuni zinazotakiwa katika kutekeleza majukumu yake.
Asingekuwa yeye tuliyoona CHADEMA tungeyaona kwa CUF.
Hongera sana Mhe.