Magazeti ya udaku ni hatari kwa jamii

Magazeti ya udaku ni hatari kwa jamii

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,714
Wadau Magazeti ya Udaku ya hapa Tanzania yamejikita sana kwenye habari za Wasanii na Watu maarufu.Habari nyingi huwa zinazungumzia maisha yao binafsi zaidi masuala ya Mapenzi na Ngono.

Binafsi pamoja na kuwa wenye magazeti wanaendesha maisha yao lakini magazeti hayo habari zake sio sahihi kwa jamii yetu.

Baya zaidi wapenzi wakubwa wa magazeti hayo ni hao wasanii na wanafunzi wa Sekondari na Vyuo.Wasanii ndio sehemu ya kuandika kashfa zao kwani wao kashfa ni Umaarufu mkubwa.Tunaiomba Serikali iyaangalie magazeti haya ya Udaku kama yana tija kwa taifa na watu wake.
 
Kwa siasa za bongo bora mtu ajiosomee gazeti la udaku tu kuliko kusoma jamhuri au sijui mwananchi kila siku ni muvi tu alafu haziishi vizuri
 
Kichwa cha habari kama.
Amber Rutty apata umaarufu huwezi kukifungia jicho. lazima ununue gazeti
 
Wadau Magazeti ya Udaku ya hapa Tanzania yamejikita sana kwenye habari za Wasanii na Watu maarufu.Habari nyingi huwa zinazungumzia maisha yao binafsi zaidi masuala ya Mapenzi na Ngono.

Binafsi pamoja na kuwa wenye magazeti wanaendesha maisha yao lakini magazeti hayo habari zake sio sahihi kwa jamii yetu.

Baya zaidi wapenzi wakubwa wa magazeti hayo ni hao wasanii na wanafunzi wa Sekondari na Vyuo.Wasanii ndio sehemu ya kuandika kashfa zao kwani wao kashfa ni Umaarufu mkubwa.Tunaiomba Serikali iyaangalie magazeti haya ya Udaku kama yana tija kwa taifa na watu wake.
Kumbe hujajua!?....serikali ndo inayapenda sababu watu wakisoma hayo magazeti ndo wanakuwa wajinga zaidi so ni rahisi kuwatawala unavyotaka!!....sasa hivi wanafunzi was vyuo vikuu ndo magazeti yao hayo magazeti serious hawasomi kabisa ndo utategemea nchi iendelee hii!?....na usitegemee gazeti LA udaku kufungiwa!!
 
Wadau Magazeti ya Udaku ya hapa Tanzania yamejikita sana kwenye habari za Wasanii na Watu maarufu.Habari nyingi huwa zinazungumzia maisha yao binafsi zaidi masuala ya Mapenzi na Ngono.

Binafsi pamoja na kuwa wenye magazeti wanaendesha maisha yao lakini magazeti hayo habari zake sio sahihi kwa jamii yetu.

Baya zaidi wapenzi wakubwa wa magazeti hayo ni hao wasanii na wanafunzi wa Sekondari na Vyuo.Wasanii ndio sehemu ya kuandika kashfa zao kwani wao kashfa ni Umaarufu mkubwa.Tunaiomba Serikali iyaangalie magazeti haya ya Udaku kama yana tija kwa taifa na watu wake.
Ndugu Wewe uko wapi??? Wewee wawapi!??? Kuna vitu kama hivyo watawala huvifurahi hawataki msome habari za uchunguzi au ubadhirifu WA serikali !!! Nyie someni
Wema ashangaza wazungu Kwa wowowo lake
Penzi LA bafuni lamzingua diamond!!!na hutasikia magazeti haya yakigushwa kwakuwa huwapumbaza wengi
 
Back
Top Bottom