Mzalendojr
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 174
- 46
anajaribu kudhoofisha mapambano ya wana mabadiliko...abakie na utunz wa stories zake .... Maana mara udini mara nn..... Sitak kumsikia tena
leo nimesoma katika gazeti la Mizengwe ya Uchaguzi. lakini nilichoshangaa ni kwamba karibu gazeti zima linakosoa juhudi za UKAWA kutaka kuchukua nchi. mara nyingi limemkosoa Lowassa na Sumaye kwa kuhama CCM. Kwa mfano kichwa cha leo kinasema Edward Lowassa awaambia watanzania waache upumbavu. lakini ukisoma kwa ndani utagundua kwamba kuna negative tu zinazungumzwa kuhusu Lowasa na Ukawa kwa ujumla isipokuwa kuna makala moja ambayo imeelezea namna watu walivyochoshwa na maisha magumu. jamani swali langu nataka kujua Eric Shigongo ni kada wa CCM na kama ni hivyo je na vyombo vyake navyo ni kada wa CCM. Kama anataka hivyo basi awaambie watu wajue kimoja baada ya uchaguzi hakuna kusoma magazeti yake

Certificate ya kujiunga UKAWA ni lazima mtu awe mjinga kupindukia. Hivyo wasamehe hawa Nyumbu. Tarehe 26 watakuwa wanavuka mto mara kurudi walikotokaMbona Gazeti la Mwanahalisi na Mawio Hamyajadili Humu?
Yani kila mtu atakae kwenda kinyume na nyie basi hafai...
Basi Mngeanzisha na nyie la kwenu... Kumjadili mtu na Biashara Yake ni kukosa Uelewa.
ni kama unatafuta ajira. Nenda bilicanas club, vipeperushi vya udaku TANZANIA DAIMA, mawio na mwanahalisi kuna ofa 25 za kazi zimetoka jioni, wahi. Ni shida