Haya yanaendeleza status quo ya serikali.Je kuna independent journalists ?
Wanaweza kuandika na kukemea uovu na rushwa serikalini?
Namwona Mengi yuko interested na biashara zake ,bora angeacha magazeti ,maana hakuna tofauti na Mzalendo,Uhuru au Daily News.
Huyu jamaa naona amekengeuka! anashindwa kutofautisha hata kati ya giza na mwanga! tumwombee wakati wa pasaka hii! Toa vielelezo vya madai yako!.Haya yanaendeleza status quo ya serikali.Je kuna independent journalists ?
Wanaweza kuandika na kukemea uovu na rushwa serikalini?
Namwona Mengi yuko interested na biashara zake ,bora angeacha magazeti ,maana hakuna tofauti na Mzalendo,Uhuru au Daily News.
Kujitoa mhanga nakuandika ukweli kama wa Mwanahalisi na Tanzania daima kwa inchi hii yataka uwe na kichwa cha mwendawazimu mkuu.Kuna magazeti kama la Uhuru siwezi hata kulitumia kama toilet paperTatizo lenu mnataka kila gazeti ligeuke la udaku kama Tanzania Daima...
hueleweki unaishia kupayuka tu pasipokutoa dukuduku lakoHaya yanaendeleza status quo ya serikali.Je kuna independent journalists ?Wanaweza kuandika na kukemea uovu na rushwa serikalini?Namwona Mengi yuko interested na biashara zake ,bora angeacha magazeti ,maana hakuna tofauti na Mzalendo,Uhuru au Daily News.