Magazeti mengi kukosa mwelekeo-tatizo wananchi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magazeti mengi kukosa mwelekeo-tatizo wananchi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shaycas, Dec 5, 2009.

 1. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Magazeti yanaandika kulingana na kile wananchi wanachotaka kusikia,labda.
  1.Tunaona na kusoma vyombo vya habari kushabikia siasa.
  2.Kuandika kushabikia watu badala ya ....
  3.Vichwa vya habari ambavyo havihusiani na habari iliyomo.
  4.Kutoa habari bila utafiti/uchunguzi.
  Yote hayo ni kwa sababu habari hizo zinauza(wananchi)wanapenda zaidi mambo hayo.Ni mtizamo wangu tu
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Shycas,

  I couldn't agree with you more.

  Inafiki wakati nalalamikia "Journalistic Integrity" naonekana mimi mie ndiye mlalamishi ati. Inaonekana kama majority ya watanzanaia wamekubali kwamba kucheza rafu ni sehemu ya mchezo, sasa mtu ukija na mambo ya "Journalistic Integrity" na element kama proper sourcing, proper atribution, proper quotations, proper headlining (topics hizi sijui kama wanafundisha vyuoni mwetu, if they do it doesn't show in our papers!) -mtu ukija na kutilia mkazo mambo hayo unaonekana overly legalistic katika mbuga ya wanyamapori, essentially unaoperate na sheria katika sehemu ya vurugumechi.

  Wananchi hawalalamiki, wanakubali tu uoza huu. Vicious cycle hii inaendelea.

  But then again wananchi hawa hawa ndio wanaopigia kura CCM kila siku.

  Nikimnukuu alivyowasema January Makamba, a million flies can't be wrong, they all eat shit.

  Millions of Tanzanians can't be wrong, they all read crap contently and vote for CCM.
   
 3. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wanatengeneza pesa na kutupotezea muda wetu, na sio mtazamo wako tuuuu ndio hali harisi hio waandishi wengi wanatupotezeea na ushabi wao wa kisiasa na wansiasa wao.

   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Dec 5, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Bluray, I am sincerely supporting you regarding Integrity

  Hakuna Journalist integrity Tz hilo liko wazi kabisa.

  Muanzisha thread ameleta kitu kizuri sana mezani YES is true, waandishi wanataka pesa thats all.

  Amesema pia kitu kilichowazi ambacho hata hapa huwa tunakishuhudia, kuna habari zinazopendeza machoni pa watu wengi na hizi ndio waandishi wa habari

  1.wanapika
  2.wanapindisha ukweli
  3. Any small related matter wataandika tu

  Ndio unakuta titles ziko tofauti kabisa na contents. Watanzania sisi wenyewe hatujaweza kuchuja kati ya habari bora na bora habari.

  Ndio maana unakuta Shigongo magazeti yake anauza kama njugu ndio watu wanayotaka, dormant mind will be always discussing what happened to the next door! Utakuta hata magazeti makubwa ya heshima habari zao zimejaa kidakudaku mmoja wapo Kubenea!

  Kwa hiyo ishu ni ngumu hii Bluray vita hii hauko peke yako , I am wasting time to read kenyan and Ugandan at leat I can gain something.

  Mtoa maada yuko OK, lakini waandishi wa habari hawatakiwi kubehave hivyo

  Bluray can you Imagine Alasiri na Nipashe ndio yanaongoza kwa kununuliwa IPP. have you ever tried to read aLASIRI??? utalia
   
Loading...