Jason chagga Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17 Reaction score 6 Feb 4, 2018 #1 Naomba kuuliza nini tatizo linalo sababisha gari kutetemeka wakati wakushika break ukiwa kwenye speed 50 na kuendelea
Naomba kuuliza nini tatizo linalo sababisha gari kutetemeka wakati wakushika break ukiwa kwenye speed 50 na kuendelea
limbende JF-Expert Member Joined May 14, 2013 Posts 1,038 Reaction score 621 Feb 4, 2018 #2 Jason chagga said: Nambo kuuliza nini tatizo linalo sababisha gari kutetemeka wakati wakushika break ukiwa kwenye speed 50 na kuendelea Click to expand... Check fuse kuna moja imekata au gari yako inashoti kuna waya unagusa bodi
Jason chagga said: Nambo kuuliza nini tatizo linalo sababisha gari kutetemeka wakati wakushika break ukiwa kwenye speed 50 na kuendelea Click to expand... Check fuse kuna moja imekata au gari yako inashoti kuna waya unagusa bodi
Jason chagga Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17 Reaction score 6 Feb 4, 2018 Thread starter #3 Kiongozi navyo ona mimi ni kwenye miguu ya mbele Na siyo swala la umeme
Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,449 Reaction score 25,831 Feb 4, 2018 #4 Jason chagga said: Kiongozi navyo ona mimi ni kwenye miguu ya mbele Na siyo swala la umeme Click to expand... yes yes, kwenye tairi za mbele kuna vidude sijui wanaviitaje nimesahau..ila vikiwa vimeisha ndio hufanya gari itetemeke hasa usukani,
Jason chagga said: Kiongozi navyo ona mimi ni kwenye miguu ya mbele Na siyo swala la umeme Click to expand... yes yes, kwenye tairi za mbele kuna vidude sijui wanaviitaje nimesahau..ila vikiwa vimeisha ndio hufanya gari itetemeke hasa usukani,