Magari yateketezwa kwa moto

Magari yateketezwa kwa moto

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Magari 16 yachomwa moto katika yadi iliyopo jirani na Kanisa la Kakobe Mwenge, Dar. Hujuma yahofiwa, madumu ya petroli yakutwa eneo la tukio

attachment.php

.Chanzo:mwananchi
 
MAGARI YATEKETEZWA: Magari 16 yachomwa moto katika yadi iliyopo jirani na Kanisa la Kakobe Mwenge, Dar. Hujuma yahofiwa, madumu ya petroli yakutwa eneo la tukio.Chanzo:mwananchi

Yaap, nami wakati napita pale naenda mwenge majira ya saa 12 alfajiri niliona hili tukio pale. Ila gari za zimamoto kama nne hivi zilikuwa around so wakawa wanazima
 
MAGARI YATEKETEZWA: Magari 16 yachomwa moto katika yadi iliyopo jirani na Kanisa la Kakobe Mwenge, Dar. Hujuma yahofiwa, madumu ya petroli yakutwa eneo la tukio.Chanzo:mwananchi

Nani kahusika Mkuu? Naomba utupe kinaga ubaga. Na ni kwa nini hasa?
 
Alshababy at work...sitashangaa nkisikia kakobe kamwagiwa tindikali
 
Kwa nini polisi wapate tabu katika uchunguzi...si waseme ni waislam tuu...kazi itakua imeisha..
 
ndugu, siyo vyema kuhusisha dini nzima kwa hili. Japo wapo wanaoshangilia kwa ushabiki huohuo wa imani potofu. Mimi ni mkristu ila naamini hata hao waliotenda huo upuuzi kwa imani za dini, bado hawatangazi dini ila upuuzi. Na vilevile ndani ya uislamu wapo waohuzunika kwa jambo la kipuuzi kama hili. Ni shetani tu.
 
Unachokiandika hapa hakina afya kwenye ustawi wetu kama taifa, nashauri kama huna cha kuandika bora ukanyamaza kuliko kuharibu jukwaa bila sababu
 
ndugu, siyo vyema kuhusisha dini nzima kwa hili. Japo wapo wanaoshangilia kwa ushabiki huohuo wa imani potofu. Mimi ni mkristu ila naamini hata hao waliotenda huo upuuzi kwa imani za dini, bado hawatangazi dini ila upuuzi. Na vilevile ndani ya uislamu wapo waohuzunika kwa jambo la kipuuzi kama hili. Ni shetani tu.

Ni kweli kabisa mkuu.Hivi karibuni tumeona msimamo wa Kakobe kisiasa na watu wasiolitakia mema taifa hili wanaweza kufanya hila kwa kufanya hili ili kuchonganisha waislam na wakristo wao waendelee kutawala kwa utisho.Na huhitaji kusubiri kuona matokeo ya tukio hili hapa tu katika uzi huu zimeanza kuibuka lugha zinazoashiria kuzuka kwa hoja za matusi baina ya waumini wa dini mbili hizi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom