Alshababy at work...sitashangaa nkisikia kakobe kamwagiwa tindikali
Msishangae ni magaidi hao make 2sha zoea!
Alshababy at work...sitashangaa nkisikia kakobe kamwagiwa tindikali
Nani alimuua Padri Mushi znz?
Jengo la Tume ya katiba nalo leo lilileta mtafaruku kikosi cha polisi na kile cha zimamoto kilifika nadhani walifanikiwa kuzima tukio Alarm ilikuwa ikilia bila kukoma... Naona Jini la Moto leo lilikuwa linakiu na maji baridi....
Nilianzisha Thread imefutwa i don't know why!
Nani alimuua Padri Mushi znz?
Nipo mkuu
Waliona hayauziki nini? kama hawajayakatia Bima imekula kwao..... Bima Muhimu kwa Maisha ya DunianiMagari 16 yachomwa moto katika yadi iliyopo jirani na Kanisa la Kakobe Mwenge, Dar. Hujuma yahofiwa, madumu ya petroli yakutwa eneo la tukio
.Chanzo:mwananchi
mbona hiyo yadi haina uhusiano wowote na askofu Kakobe? Tatizo labda ni kuwa jirani tu na kanisa lake. Hili litakuwa linahusiana na mmiliki mwenyewe wala haina uhusiano na dini.Ni kweli kabisa mkuu.Hivi karibuni tumeona msimamo wa Kakobe kisiasa na watu wasiolitakia mema taifa hili wanaweza kufanya hila kwa kufanya hili ili kuchonganisha waislam na wakristo wao waendelee kutawala kwa utisho.Na huhitaji kusubiri kuona matokeo ya tukio hili hapa tu katika uzi huu zimeanza kuibuka lugha zinazoashiria kuzuka kwa hoja za matusi baina ya waumini wa dini mbili hizi
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Nimekumiss, zenji hawajambo?
Sio taahira Mkuu kwa sababu ndo itavyokua...tumezoea hii
Wazima km chuma mkuu. Miss u too bulldog
Hawajambo huko kwenu?
Tuko bomba