isije kuwa nyie ni wale matapeli mnasema gari gani mara tuma dola 4 mnaingia kizani
kwani we una uwezo wa kuleta gari gani? Watu wanataka ma range, landrover, hata yale ya paund laki 3 lete tu
iveco,scania,volvo,DAF
yupo jamaa mmoja tapeli sana ameniuza bado namlia taiming ya kumuanika kwenye mitandao yo yote duniani anajifanya yupo hongkog ni rafiki yangu nitamuanika kwa majina yake yote matatu na paspot namba yake na picha yakeUsiwe na wasi wasi ndugu yangu, mimi ni mtanzania niliyehitaji ushauri tu, na wala badiko langu halina viashiria vya kitaperi, ila wewe tu na wasiwasi wako usio na msingi ambao unatufanya sisi watanzania tusiendelee! sijakutaka au sijauliza mtu wa kununua, nimeomba ushauri wa gari gani zinahitajika tanzania ila hata nikitaka kuuza nisipate shida. ni karesearch tu kadogo ndugu yangu
yupo jamaa mmoja tapeli sana ameniuza bado namlia taiming ya kumuanika kwenye mitandao yo yote duniani anajifanya yupo hongkog ni rafiki yangu nitamuanika kwa majina yake yote matatu na paspot namba yake na picha yake
nitamwanika soon kanirudisha nyuma sana huyu nguruwemkuu fanya hivyo haraka tusije na sisi ndugu zako tukaingizwa mkenge ... tutakosa wote .... kama amekutapeli usimwonee nyani aibu ... weka hadharani