Ni magari yako mkuu sio ya liz, after all miaka hii watu hawawezi kutunza siri kiivyo,Nchi haijengwi kwa majungu,how sure are you kuwa hayo magari ni ya riz1?
Wewe huna kazi ya kufanya? Sasa kilicho kupeleka hapo ni hayo magari? Wabongo bana.yani ni umbea kwa kwenda mbele.Nimewahoji madreva Kama Sita hivi, wanasema ni za Rizwan, na watu wa custom, nimehoji mbona Haya magari yanapita tu? Nikajibiwa ni za wakubwa. Sasa ushahidi gani una taka?
Haya mama Jack, sasa nami nakuambia kampuni mpya ya ndege inayokuja inaitwa fast jet ni ya Ridhwani.ulitaka umwambie wewe????
Wanajf.
Hapa niko mpakani Namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za Rwizan zimetoka Nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?
haya mama jack.sasa nami nakuambia kampuni mpya ya ndege inayokuja inaitwa fast jet ni ya ridhiwani.By mamajack<br />
ulitaka umwambie wewe????
Uhalisia haupo maana wewe ni mchumia tumbo, kwenda zako.haya mama jack.sasa nami nakuambia kampuni mpya ya ndege inayokuja inaitwa fast jet ni ya ridhiwani.
Siungi mkono hoja hii mambo ya kusema magari au kitu fulani ni cha mtu fulani bila ya kuwa na ushahidi wa ata wa kimazingira hii naikataa na umu JF tuikemee sana sababu hii trend ya kila magari na mabasi kuwa ya RIDHIWAN na kila maghorofa kuwa ya LOWASSA mimi naona ni utoto emu tuje na data ili tuende sawa.
Ngoja niende zangu kwa huku.uhalisia haupo maana wewe ni mchumia tumbo.kwenda zako.
Wanajf.
Hapa niko mpakani Namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za Rwizan zimetoka Nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?
sasa badala la kutafuta ushahidi wa kitaalam kwanza kama zake unakimbilia kuhoji alikotoa utajiri.je tukijadili alikotoa utajiri halafu baadae tukagundua gari hazikuwa zake?