Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,172
- 15,725
Haya magari toka juzi jumamosi nayaona yakipita kwenda na kurudi,nimetatizika imebidi niulize leo nikaambiwa madriver wanajifunza jinsi ya kuyatumia pamoja na kujua jinsi ya kutoa huduma,hapa nipo kkoo watu wanahangaika usafiri hamna yenyewe yanajipitisha tu yakiwa empty sasa kwanini pamoja na mambo mengine yasingepakia abiria ili hao watoa huduma wajifunze kwa vitendo?maana toka asubuhi yanapita diesel ikitumika bure huku ndani wamekaa watu wawili/wanne tu.